Tuesday 11 February 2014

MAMA THEONESTINA RWEYEMAMU ALIEFARIKI 01 FEB 2014 HUKO NEW YORK MAREKANI AZIKWA KIJIJNI KWAO KITENDAGURO BUKOBA 10 FEB 2014

 Mwili wa marehemu Theonestina Rweyemamu  kabla kusafirishwa kutoka New York ukiwa kanisani wakitoa heshima  za mwisho
 kiongozi wa  dini akitoa heshima za mwisho
 Marefiki wa marehemu  wa New York wakitoa neno na pole kwa familia kabla ya mwili kusafirishwa kuletwa Tanzania Bukoba kwa mazishi
 Mmoja  wa watoto wa marehemu wa kike akipewa pole
 Familia ya marehemu wakiwa kwenye Ibada  Marekani ya kuuwaga mwili wa marehemu
 Picha ya pamoja m,arafiki huko Marekani
 Mwili wa maeremu ukiwa nyumbani kwake  Bukoba kitendaguro
 Baba Askofu Methodius Kilain alieongoza Ibada ya Mazishi akiwa na wanafamilia ya marehemu
 Hapa ndio nyumba ya milele ya marehemu mama  Theonestina Rweyemamu
 Ni picha ya pamoja wa wanaumoja walioleta zawadi za kusaidia katika msiba,Paskazia Barongo akiwa ni mwanachama wa umoja huo
 Bw Chichi (kulia)  akiwa msibani
 Watoto wa Marehemu Emmanuel na Doris wakiandaa mwili wa marehemu  kabla ya watu kutoa heshima za mwisho
 Mwili ukitolewa ndani
 wakati wa ibada ya mazishi
 Baba Askofu Kilain akiongoza ibada ya mazishi

 Watoto wa marehemu
 Paskazia Barongo akimsikiliza Baba Askof Kilain wakati wa maubili
 wakati wa mazishi
 Doris mtoto wa marehemu akiweka udongo
 Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua, marehemu alizaliwa 1 Feb 1952 na amefariki  1 Feb 2014
 Baba askofu Methodius Kilain akiomba sara wafiwa wakiwa ndani na kuitimisha ibada ya mazishi
 MZEE Samwel Rwangisa akiwa na Bw  Chichi
 Baada ya mazishi maisha yanaendelea , kinywaji .......
 Ni mti (Chrismas Tree) uliopandwa  na Dada Paskazia Barongo karibu na kaburi
 Emmanul akiwa na bibi mzaa baba
Baada ya mazishi watu maisha yanaendelea migombani

No comments:

Post a Comment