Wednesday 12 February 2014

CAMERA YETU KATIKA HOTEL YA COFFEE TREE,WATU WAKIBURUDIKA NA MASHINDANO YA COFFEE POOL TABLE YAINGIA HATUA YA NUSU FAINALI,BEN KATARUGA KUTOA MILIONI MOJA KWA WASHINDI WATATU


 Bw Kamuzora jioni ya leo akiwa coffee Tree Hotel akifurahia mchemsho wa samaki fresh
 Unapokuwa Bukoba unapata samaki fresh kutoka ziwa victoria
 Mc Baraka mmiliki wa Bukoba wadau akipata chakula na Bw Mbatina
 Wa pili kutoka kushoto ni Commander Wilbroad Mutafungwa(OCD) Kinondoni Dsm akiwa na Bw Cuthbert Basibila,Jamco na mdau ambae hatukupata jina lake
 Bw Kamuzora akiwa na Bw Jamco

 Dada mwenye mvuto na bashasha na kuipenda kazi yake katika pozz

 Full shangwe
 Commander Mutafungwa akiwa na ndugu na marafiki
 Bw RUGE
 wakitazama mashindano ya pool table
 Ni baadhi ya wachezaji wanaoshiriki mashindano ya Coffee pool Table wakiangalia mpambano unaoendelea
 Imebaki nyeusi
 MWL wa wachezaji akifuatilia mpambano Jacob Kilyanga
 Huyu ni mchezaji hatari sana akisali kabla ya mpambano wake kuanza
 MASHINDANO  haya yanadhaminiwa na mmoja wa wadau wakubwa wa mchezo huu Ben Kataruga mzaliwa wa Bukoba anaheishi Dar, atatoa kiasi cha shilingi milioni moja kwa washindi watatu watakaoshinda
 Fainali zitafanyika 15-2-2014 kuanzia saa 12.00 jioni katika hotel ya coffee Tree
 Mhezaji wa kwanzaBi  Mrema amekwishaaga mashindano na Bw Sande bado yumo anapambana
 Akifuatilia kwa umakini mkubwa kabla hajaingia ulingoni
 Eneo la mpambano
 Bw Kamuzora akishuhudia mechi ya nusu Fainali
 amekwisha aga mashindano siku nyingi.......
 Kwa umakini mkubwa Bw ruben Sande
usikose kufuatilia Fainali 15-2-2014 Saa 12.00 jioni

No comments:

Post a Comment