Sunday, 9 February 2014

CAMERA YETU MTAANI BUKOBA

 Ni Dampo la takataka soko kuu la Bukoba limekuwa katika hali mbaya takribani wiki moja na zaidi na kufikia hatua ya kuofia magonjwa ya milipuko,Leo katika pitapita yetu tumekuta gari likipunguza taka hizo ambazo zimekuwa kero kwa wapita njia na majirani wa eneo hilo kwa harufu mbaya inayosababishwa na taka hizo,Lakini cha kusikitisha zaidi ni wale wanaosomba takataka hizo ngumu kutokuwa na nyezo za kufanyia kazi na kusababisha mashaka makubwa ya kuambukizwa magonjwa ya milipuko.
 Hii ndio hali halisi niliyoikuka kwa hawa vijana wanaozoa taka , wakifanya kazi bila kuwa na nyenzo za kufanyia kazi zilizosalama kwa afya zao.

 Eneo la ndani ya soko karibu na Dampo
 Maeneo mengi ya mji wa Bukoba hali ya mitaro ni mbaya sana kama unavyoona
 Hapa wanasema waswahili heri kuziba ufa kuliko kujenga ukuta
 Camera yetu moja kwa moja Lucy Saloon
 Mtaa wa Arusha
 Ni jengo la Bw Mutembei limefikia hatua nzuri, ni moja ya  majengo ambayo likikamilika litapendezesha Mji wa Bukoba
 Maeneo ya Stand ya magari yanayokwenda Bugabo
 Kashozi road
 Ni moja ya duka katika jengo la Rwabizi Plaza
 Mzee Kabigumila sambamba na camera yetu  kashozi road
 Bw Denis akiwa kazini
 Watu wakiendelea na maisha
 Kituo cha mafuta OLYMPIC masaa 24 wako kazini wapo KASHOZI ROAD

 Mzee Masabara mmoja wa wazee makini akiwa maeneo ya Benki ya CRDB Bukoba
 Mpoma kama kawaida mtaani ,nae yuko kazini
 Kijana Mwemezi akiwa ofisini
 Chezea Azam Tv WEweee
 Kikazi zaidi  akiwa Jamco m pesa soko kuu stand ya Tax
 Tabasamu muda wote,mteja kwake ni muhimu, karibu jamco m pesa
 Mzee Kabyemera kwa mbali akiwa mitaa ya Bukoba
 Kijana akiwa kazini, anafukuzana na wakati sio maneno , ni kikazi zaidi
 Mama na mwana
 Usisahau Jamco barber shop

Tembelea  jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment