Thursday 1 March 2018

MAREHEMU MA ELIZABERTH MUKARUNYAGA KINYONDO,ATIMIZA MWAKA MMOJA, IBADA YA MISA YAFANYIKA KATOMA.

Ilikuwa ni siku ya majonzi katika familia ya Kinyondo wa Katoma,walipokuwa wakimkumbuka marehemu Ma Elizabeth Kinyondo kwa kutimiza mwaka mmoja tangu afariki, katika ibada takatifu iliyoongozwa na baba Askofu Methodius Kilaini iliyofanyika Katoma Bukoba.
Watoto wa marehemu

No comments:

Post a Comment