Mgeni Rasmi,
Dkt.Kissui Steven Kissui ambae ni Mwenyekiti wa Shindano la Uwezeshaji
Kiuchumi na Ajira Tanzania, akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara
ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Na BMG
Mkutano huo ambao
uliandaliwa na Shirika la Machinga Mkoa wa Mwanza SHIUMA, ulilenga
Machinga kujadiliana na wadau wengine wa Uwekezaji ikiwemo taasisi za
kifedha, juu ya Kurasimisha biashara zao na kuwekwa kwenye mifumo rasmi
ya Kibiashara na Kijamii.
Machinga wamesema changamoto kubwa
zinazowakabiri ni Ukosefu wa Mitaji ya Biashara, Maeneo ya Kufanyia
Biashara pamoja na Ukosefu wa Elimu Biashara. Wamesema wanataka nao
watambulike na taasisi za kifedha ili wapate fursa ya kukopesheka ili
kukuza mitaji yao.
Mgeni Rasmi, Dkt.Kissui Steven Kissui
ambae ni Mwenyekiti wa Shindano la Uwezeshaji Kiuchumi na Ajira
Tanzania, akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga)
Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Katibu wa Shirika la Machinga Mkoa wa
Mweanza SHIUMA, Venatus Anatory, akizungumza katika Mkutano wa
Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mwenyekiti wa
SHIUMA, Matondo Masanja (katikati), akiwa na wadau wengine katika
Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Machinga Jijini Mwanza
Machinga Jijini Mwanza
Machinga Jijini
Mwanza wakinyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kukubaliana kwa pamoja
na hoja yakurasimisha biashara zao, Kupata maeneo rasmi ya Kufanyia
biashara katikati ya Jiji pamoja na Kutambulika katika taasisi za
kifedha ili waweze kukopesheka na kupatiwa elimu ya kibiashara.
No comments:
Post a Comment