Hii ndio hali halisi katika ukumbi
Mmoja ya wapambaji maarufu Mama Matungwa akiwa na Mume Mr Robert Matungwa akifuatilia kwa makini kinachoendelea ukumbini,kwanza ulikuwa unakutana na Menu ikieleza upande wa vinywaji vilivyopo,na vyakula vitakavyokuwepo,lakini mpangilio mzima wa meza ulipendeza.
Ni sehemu ya lango la kuingilia ukumbini unakutana na kitu cha namna hii unapata picha kabla ya kuingia ndani
Katika swala zima la vinywaji kampuni ya Mabibo beer & wine ilijipanga ni mwendo wa windhock,juice za box,vikali tofauti ilikuwa ni uwezo wako na speed yako katika kutumia,namaanisha kama kasi yako ungeanza kwa kasi basi wewe mapema sana mchezoni ungetoka.
Watu walitoka pande tofauti tofauti kushoto ni mmoja wa wakutubi kutoka chuo kikuu cha Josiah Kibira(JOKUKO) kilichopo Bukoba maeneo ya Nyakato Bukoba.
Akudo band kama kawaida walikuwepo
Ni moja ya kaunta ya vinywaji vikali ndani ya ukumbi
Kaka mkubwa Ernest Nyambo uso kwa uso na camera yetu
Ni kwamba kabla ujamaliza au zimebaki mbili unapewa nyingine bila kuomba kama unavyoona jamaa akabaki kushangaa na kuhoji jamani mnampango gani leo na hizi windhoeck zenu?
Sehemu ya marusi kukaa, hakuna mambo mengi , ni machache lakini kiwango.
Keki
Ulikuwa kila meza unakutana na kibox cha hivi kwa ndani ni chokulate
Mmoja ya boss wa Bw Harusi katika Biashara
Bosi mwingine
Bosi mwingine
Mzee Rugemarila akiwa na mkewe
Kushoto Pro Anna Tibaijuka Waziri wa Ardhi ,Nyumba na makazi nae ndani ya nyumba
Kushoto Mama mzazi wa Bi harusi akiwa na mama mzazi wa Bw harusi
Angalia vizuri na kwa umakini mpangilio wa meza na vilivyopo.
Ni nguo ya tatu, na badae ilivaliwa ya nne,hapana chezea EVA COLLECTION
Hii ni history kwetu mke wangu
Wakiingia ukumbini
Wapambe nao walitishaaaa mbayaa
Gauni hili ilikuwa ni moja ya kivutio kikubwa ukumbini, maana alipotembea nalo lilionekana kuvimba na kuchezacheza
Ninomaaa
Akudo bendi wakiimba wimbo wa mama vanesa, wimbo maalumu uliotunwa siku kitambo kwa ajili ya bi Lydia mama vanesa na kuingia katika moja ya nyimbo zinazopendwa sana na mashabiki. mama vanesa ndio huyu Bi harusi .
Kwa mbele unaona stand za camera zikitafuta matukio
Abashagazi
Mama Saverina akiwa na mwanae
Baadhi ya waimbaji wa Akudo bendi
Akudo
Wanenguaji wa Akudo
Akicheka na camera yetu
Ni vitu tofauti vilivyokuwa vinasambazwa kila meza
Ni madikodiko kibao yalikuwepo,ilikuwa ni kula unaingia mpaka unatoka ni kula tu
Mzinga mkubwa wa shampein
Nshomile kama kawaida yake akawapagawisha wahaya na watu tofauti
Ukiishiwa unaletewa
Mzee Rugemarila baba mdogo wa bw harusi akitoa neno
Bi Harusi katika pozzzz
Mwanamke kujikubari
Tishaaa mbaya
Queen katikati akishare love na wenzake
safi sanaaa
Nilishe nikulishe
Karibuni wazazi wangu
Taji Liundi mc wa viwango akiwakilisha na kuongea chochote kinachoendelea ukumbini
Hebu angalia mwenyewe
Eneo la matunda
Dah ilikuwa poa sana
obu buki chonkaa(mama anauliza kitu gani hiki)
Sasa nichukue nini hapa
Kwaitooo
Mke wangu hivi hawa watu tutawalipa nini?
Mmiliki wa kampuni ya ubunifu mavazi Eva Rugemarila (EVA COLLECTION) akiwa na baba mzazi na mama yake mzazi .Eva ndio alihusika katika swala la mipango yote ya maharusi mavazi, mapambo na ushauri wa kuboresha.
Onyesha upendo kwa mama au mkeo unamsaidia mtoto nae apata raha,niliipenda sana hii big up mkaka.
Hapa ni swala la kisu,uma linatumika
Mjukuu wa Rugemalira nae akapata nafasi ya kuongea aliyokuwa nayo moyoni.
Barnaba akichana live
Bi harusi kaishabadilika nguo ya nne kwa siku ya leo.
Mzee akimuelezea Victor mbele za watu kuwa ametambua ukaribu alionao na watu,maana alichokiona hakutegemea, na akaendelea kusema Victor is a fighter mpambanaji kapambana mwenyewe akitokea Bukoba akaingia mjini akaangaika mwenyewe mpaka mafanikio aliyonayo sasa.Hongera kijana wangu na iwe funzo kwa wengine simama mwenyewe.
Wakisikiliza maneno mazito ya mzee Rugemarila akimzungumza Victor
Baada ya maneno mazito akamvisha kanzu kuashiria sasa umekuwa msimamizi wa familia
Vaa mwanangu
Victor ndani ya kanzu
Akavishwa na koti kisha akakabidhiwa mkuki kama siraha ya kumlinda yeye na familia
Mama Rugemarila nae akatoa nasaha zake
Akamkabidhi kiabu cha mungu biblia
Zawadi ya picha nzuri ya msalaba
Ghafla akaingia mtu wa watu kulii ni Ben Mulokozi akiwa na mmiliki wa blog hii
Ikapigwa picha ya ukumbusho
Hongera dada yangu
Mwenyekiti wa kamati na sherehe wilbrod Mutabuzi akimpa akiwapa mikono maharusi kuashiria kazi mliyonituma na kunikabidhi niisimamie na wajumbe wote leo tumeikamilisha kwa asilimia za juu sana.
Kijana makini sana kushoto John Mwendabantu katibu wa kamati akiwa na mdau wakiteta
Kamati ya maandalizi nao wakaibuka kwa stail hii, mrushe Bw harusi juu,Kamera zilizofungwa kwenye stendi zake maalumu zikamfuata hukohuko juu.
Tukachezee kipenzi wa roho yangu
Barnaba akawapagawisha kwa burudani wageni waliobahatika kuhudhuria,Dada huyu hakika anaweza kutoka Bukoba akionyesha utaalamu wake kwenye swala zima la kuzungusha kiuno.
No comments:
Post a Comment