Wednesday 17 September 2014

KASSIM MGANGA, AUNT EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNT ATIA SAINI KITABU UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC MAREKANI


Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC




 Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.

No comments:

Post a Comment