Sunday 14 September 2014

KILICHOJIRI SEA CLIFF HOTEL,BAADA YA KUTUA NA HELKOPTA,VICTOR NA LYDIA TISHA SANAAA.

 Hapa ndio yalikuwa makazi ya muda ya bwana harusi siku mbili kabla ya ndoa yake,na bi harusi akiwa sea cliff.

 Katika swala zima la mavazi Sheria Ngowi walihusika kushauri avaeje na na nini kifanyike kwa bwana harusi.
 Kitu helkopta ndio kilitumika kuwaleta kutoka kanisani Kawe mpaka Sea Cliff hotel kwa ajili ya kupata chakula cha mchana na wageni waalikwa wasiopungua mia mbili na hamsini,na baada ya hapo kiti helkopta kilitumika kuchanja mbuga na anga la Dar na vitongoji vyake kuelekea Mlimani City ambako wageni  mia nane walialikwa.
 Ni maeneo ya Sea cliff hotel,hata kama umenuna utafurahi kutokana na mandhari ilivyo

 Hivi unajisikiaje mke wangu wanetu kushuhudia harusi yetu
 Kwa kweli mme wangu ni furaha wanetu kushuhudia harusi yetu
 Wenye sare ni wazazi wa pande mbili
 Menu ilikuwa ni hatariiiiiii
 Chakula time nako nguo maalumu kwa bi harusi kwa ajiri ya msosi tuuuuu.
 My Wife wanura washemela
 My Husband chonka wakikora ekyo walalire
 Nakupenda sana
 Malovee time
 Hii ni historia katika maisha yangu,Busimbe, kastamu mpaka Dar mbezi, duh mungu ni mwema
 Katibu wa kamati Bw John akiteta na bw harusi
 Sheria Ngowi ndio mpango mzima kwa mavazi ya bwana harusi
Ni historia kwa kila aliyepo hapa,watoto wameshuhudia ndoa ya Baba na Mama,Jamcoblog tunasema endelea kufuatilia kilichojiri mlimani city ni balaaaaa.

No comments:

Post a Comment