Saturday 13 September 2014

VICTOR ALCARD MWOMBEKI NA LYDIA PROTAS WAFUNGA PINGU ZA MAISHA,WAPASUA ANGA LA DAR KUELEKEA SEA CLIFF KWA HELKOPTA.

 Ni nyuso za furaha Victor na Mkewe Lydia mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa katoliki la Kawe jijini Dar.
 Baba mdogo wa Victor mzee Rugemalira akiwasili viwanja vya kanisa la kawe
 Victor akiwa na Mr & Mrs Rugemarila wamiliki wa kampuni ya mabibo wine.
 Katibu wa kamati Bw John akiteta na Bw Harusi
 Mama wa BW NA BI HARUSI WAKISALIMIANA
 Bi harusi akiwasili eneo la kanisa la kawe
 Nitakuwa nawe katika magonjwa na afya
 Nitakupenda mpaka kifo ndio kitatutenganisha
 Hongera mwanangu
 Helkopta ikiwa imetua viwanja vya kawe kuwachukua maharusi
 Rubani wa helkopta
 Maharusi wakaletwa na bonge la benz
 WADAU WALITOKABukoba kuja kushuhudia
 Hapanachezea Victor na Mama Vanesa,si mchezo
 queen akiangaika
 Watu wakataka kupiga picha na rubani mzungu,ni hatariiiii
 Leo ni historia mpya katika maisha yetu
 Twende zetu tukapasue angaaa
 Queen akauza na Rubani
 Tupige mmoja
 Nasieeeee
 Chezea helkopta weweeee
 Full Shangwe
 Vijana wakiwa kazini
 Kila mtu na simu yake
 Wakapaa maharusi kuelekea sea cliff kwa lunch
Endelea kufuatilia matukio,nini kiliendelea Sea cliff na mlimani city.

No comments:

Post a Comment