Thursday 18 September 2014

MR & MRS VICTOR ALCARD MWOMBEKI WAANDAA CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAO MBEZI , KUAGANA NA NDUGU WALIOTOKA BUKOBA KUSHIRIKI HARUSI YAO.

 Ni Bw Victor akiwa nyumbani kwake Mbezi akiongea na ndugu waliotoka Bukoba kuja Dar kuhudhuria harusi yake iliyofanyika 13-9-2014.Baada ya pilika kubwa na ya aina yake aliandaa chakula cha jioni kwa nia moja tu ya kutoa shukrani zake za dhati kwa ndugu ambao walifika na kuacha shughuri zao kushiriki harusi yao.
 Ni mjengo wa Mr Victor na mkewe
 Maisha yanaendelea
 Watu wakipata kumbukumbu maeneo tofauti
 Ndugu wakfurahia
 Wazee wakitafakari,kila mtu na swali lake akilini mwake
 Shukrani zikiendelea
 Ikachezwa ngoma ya kihaya
 Chakula time
 Watu walipata fursa na wakaitumia ipaswavyo
Ilikuwa ni shidaaaah

No comments:

Post a Comment