Saturday 25 June 2016

SIKUKUU YA WANAWAKE- KKKT/DKMG YAFANA,ASKOFU KESHOMSHAHARA APOKEA MAANDAMANO.

 Baba Askofu wa kkkt\dkmg Keshomshaara na viongozi wengine wamepokea maandamano makubwa mamia kwa mamia kutoka maeneo tofauti na  hususani Mkoa wa Kagera wakisherekea sikukuu ya wanawake kkkt\dkmg. wanawake hao waliokuwa wemebeba mabongo yenye ujumbe mbalimbali kuhusu wanawake,huku wakiimba nyimbo za dini na kutanguliwa na matarumbeta.Sherehe zilifanyika kanisa kuu Bukoba mjini.
 Wanawake wanaweza.
 Wanawake si mchezo.



No comments:

Post a Comment