Monday 30 May 2016

HAFIDH SALUMU (CHICHI) NA KHADIJA HAMAD NASSOR WAKUSANYA MAMIA KAMACHUMU BUKOBA KATIKA KUSHEREKEA HARUSI YAO.

 Ni siku ya furaha kubwa sana katika familia ya Bw Salumu  Mawingu almaarufu Organaizer, mzee wa mipango pale mwanae kipenzi Hafidh  Salumu almaarufu Chichi  alipoamua kuuacha ukapera na kumuoa binti Khadija Hamad Nassor kutoka Kishapu Shinyanga,Watu mamia  kwa mamia kutoka pande tofauti walimiminika kushuhudia kwa macho kijana Chichi kwa kufunga ndoa.
 Bw King
 Kila kona  watu walitokea.
 Marafiki wa Bw Chichi.
 Shekhe wa Mkoa wa Kagera Haruna kichwabuta akiwasili eneo la tukio.
 Bw Optat Katibu akiendesha ratiba.
 Wanachama wa Kihanja Milembe waiingia ukumbini.
 Bw Salumu Mawingu akiteta kitu.
 Wajomba wa chichi kutoka Oman.
 Mstahiki Meya manispaa ya Bukoba Chief kalumuna akipokewa.
 bw Inocent Rugumamu mwenye miwani kutoka Marekani akiwa na Bw Deo Rugaibura.
 Mashekhe.
 Bw Abdalfuu Jafar Sakibu Bwanika akiongoza ratiba nzima ya sherehe.

 Maharusi wakingia ukumbini.
 Bw Adar akitoa neno la familia.
 Shekhe kutoka Dar akitoa nasaha.
 Shehe kutoka Dar alitoa darsa kuhusu ndoa kila aliekuwepo alitamani asimalize mawaidha.


 Mama mzazi mama Moddy akiwa na furaha kubwa mwanae kuoa.
Jamcobukoba .blospot.com inawatakia furaha na amani katika ndoa yenu,kwa mawasiliano tupigie simu namba 0754-757157 au 0788-707027.

No comments:

Post a Comment