Sunday 19 January 2014

ANGALIA PICHA YA KWANZA YA SISTER ALIYEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME HUKO ITALY.


Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.

No comments:

Post a Comment