Wednesday 22 January 2014

KAGASHEKI KUUNGURUMA BUKOBA KESHO KWENYE MKUTANO WA HADHARA, MAPOKEZI MAKUBWA YAMSUBIRI JIMBONI KWAKE 23-1-2014

 Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki anatarajiwa kuwasili kesho jimbo kwake tangu ajiuzuru nafasi ya uwaziri wa maliasili na utalii, Balozi kagasheki atawasili uwanja wa ndege wa Bukoba majira ya saa nane mchana na ndege maalumu. Mara baada ya kuwasili yatakuwepo maandamano(Kidedea)yatakayoanzia uwanja wa ndege bukoba kuelekea uwanja wa mashujaa(Uhuru platform) ambapo ataongea na wananchi wa jimbo la Bukoba mjini na maeneo tofauti.
 Picha kutoka maktaba mikutano ya zamani
Picha kwa hisani ya Jamco video production.

No comments:

Post a Comment