Monday 20 January 2014

MAREHEMU SOSPETER ISHENGOMA MASHASI KUZIKWA 21-1-2014 NYUMBANI KWAKE KIBETA

 Ni picha ya marehemu Sospeter Ishengoma Mashasi aliefariki siku ya Ijumaa 17-1-2014
                                      Wanafamilia wakiwa katika mipango ya mazishi
 Watoto wa marehemu wakifarijiwa
 Ni majonzi
 Jeneza la marehemu
 Mtoto wa marehemu
 Ni nyumbani kwa marehemu, ndugu, jamaa na marafiki
 KUSHOTO, Mzee Mashasi kaka wa marehemu akiwa na wazee wenzake
 Katikati ni mtoto wa marehemu Bw Kato
 Katikati ni Mtoto wa marehemu Bi Letty akiteta na Baba yake Mkubwa Mzee Mashasi
 Kulia ni Baba Askofu mstaafu wa kanisa la kirutheli Samson Mushemba akiwa msibani
                                          Tulikupenda sana Baba ila mungu amekupenda zaidi

No comments:

Post a Comment