Sunday 1 June 2014

MAPOKEZI YA SHEKHE SAID WA IBWERA AKITOKEA KWENYE MATIBABU DAR

 Shekhe Said wa Ibwera akishuka kwenye ndege kisaidiwa na wafanyakazi
 Wa mama waliotokea Ibwera wakiingia uwanja wa ndege  kumpokea Shekhe Said aliekuwa kwenye matibabu
 Wakiwa nje ya uwanja
 Shekhe Said
 Bw Marick akimsalimu Shekhe Said mara baada ya kushuka kwenye ndege
 Umati mkubwa uliokuja kumpokea shekhe said
 Mauran akisalimiana na shekhe Said
 Msafara ukielekea Ibwera
 Shekhe Said akiwasili Ibera
Shekhe Said ambae aliugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na ugonjwa wa Kiarusi amepata nafuu na kurejea nyumbani
 Wanafunzi wa chuo
 Iliobwa dua ya kumshukuru mwenyezi mungu kwa kumjaria shekhe said kupata nafuu
 Kaimu shekhe wa mkoa akitoa neno kwa waislamu na wakazi wa I BWERA
 PILAU IKALIWA
Huu ni msikiti wa Ibwera

No comments:

Post a Comment