Sunday 1 June 2014

WANAUMOJA WA MJUE MWENZIO WAMPONGEZA MWENZAO JAMILA JAMAL KWA KUJIFUNGUA

 Ni mtoto Jabir Jamal aliezaliwa 29-4-2014 katika hospital ya Mugana Bukoba
 Wanaumoja wa Mjue Mwenzio wakiwa nyumbani kwa mwenzao aliejifungua,wamekuja kumpongeza kwa zawadi mbalimbali ikiwa ni utaratibu wao waliojiwekea katika umoja wao.
 Kushoto ni Mke wa Jamal Kalumuna ambae ndio aliejifungua kwa operesheni wanaumoja wenzake wamefika nyumbani kwake kumpongeza.
 Bi Oliva nae ni miongoni mwa wanaumoja
 Ni story za hapa na pale zikiendelea
 Wa mama wamependeza
 Mama na mwana wenye afya njema na furaha
Ongera mama Jamco mungu akujarie nguvu, afya ,wewe na mwanao na uweze kuendelea shughuli za kulijenga Taifa na familia.

No comments:

Post a Comment