Sunday 1 June 2014

SHEREHE YA KUSTAAFU UTUMISHI WA UMMA MAMA PRISKILA MWAINUNU ALIEKUWA MTUMISHI WA TANESCO BUKOBA

 Mstaafu Priskila Mwainunu
 Mstaafu kwa raha zake
 Mc Aman akishirikiana na Mc Jerry
 MC Jerry akiongoza ratiba
 Vijana wa show wakiingia ukumbini Lina's
 Mstaafu Priskila Mwainunu akiingia ukumbini kwa furaha,zaidi ya miaka 30 katika utumishi wa umma,akicheza wimbo wa  Neema.
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akifungua sherehe Mzee Said
 Varelian nae alikuwepo
 Neno la mungu likatolewa kubariki sherehe
 Zikafunguliwa sita
 Kumywa mwanagu kwa niaba ya wenzako wanne

 Cheerssss
 Pozzz
 Full shangwe
 Kibengwe Family kwa raha zao
 Ikakatwa keki
 Keki kwa wafanyakazi wa Tanesco
 Jamco akipewa keki na mstaafu kama inshara ya kumshukuru katika maandalizi ya sherehe ya kumuaga mstaafu
 Wana pamoja group wakitoa neno kwa mstaafu
 Mh Janat akiongea kwa niaba ya marafiki wa karibu wa mstaafu
 Mmoja wa watoto wa mama mwainunu Suma akitoa maelezo  na kumshukuru mama yao kwa kuwalea na kuwasomesha na sasa wanajitegemea, hivyo hawana cha kumlipa mama yao zaidi ya kumuombea kwa mwenyezi mungu kumpa afya njema na maisha marefu.
 Ernest Nyambo akitoa maelezo kuhusiana na zawadi ya watoto wa mama mwainunu waliotoa kwa mama yao
 Hii ni risti ya uthibitisho wa pesa taslimu  milioni kumi na tano iliyotolewa na watoto  wa mama mwainunu kama zawadi kwa mama yao
 Rmk akiwa na Sudi Karatasi wakati wa zawadi wakiwa na Ernest Nyambo
 Kamati ya maandalizi
 Mama Mwainunu akiongelea maisha yake ya utumishi kwa zaidi ya miaka 30 akiwa kazini
 Mstaafu Mama Mwainunu akipata chakula na meza kuu
 Gsmart akipata chakula
 Ernest Nyambo na Bushira wakisakata rumba
 Mama na mwana wakicheka na camera yetu, pendeza sanaaaa
jamcobukoba.blogspot.com tunakutakia maisha mema mama Mwainunu

No comments:

Post a Comment