Wednesday 21 August 2013

UZEMBE WA DREVA WA GARI LA KAMPUNI YA SAMAKI VICK FISH BUKOBA WASABABISHA AJALI MBAYA MAENEO YA KYETEMA,DREVA AKATIKA MGUU

 Gari la kubeba samaki la vick fish bukoba likiwa maeneo ya ajali kyetema,barabara iendayo kemondo na kanazi, ajali hii ilitokea baada ya dreva wa gari hili alijulikana kwa jina moja Athuman kuovertake hiece iliyokuwa ikishusha abiria na kwa mbele kukuta gari aina ya Fuso limesimama na kuligonga kwa nyuma.
                                         dereva Athuman wa gari hili amekatika mguu mmoja
hali ya gari baada ya ajali,madereva wengi wamekuwa wanaleta mzaa barabarani na maisha ya watu
                                                                   madereva kuweni makini na maisha ya watu

No comments:

Post a Comment