MAMA TUNU PINDA AZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WATOTO KIKE NCHINI
Mgeni rasimi Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia mtoto wakike kushoto kwake ni mkururugenzi Mtendaji wa Tmarc Bibi Diana Kisaka ambao ndio wandaji wa mradi huo kulia kwa mama pinda ni Ludovicka Tarimo mshauri wa maswala ya jinsia kutoka USAID anayefuatia ni Mkuu wa voda com Foundation Bwana Yessaya Mwakifulefule sherehe hizo zimefanyika mkoani Mtwara picha na Chris MfinangaMama Tunu Pinda naonekana akicheza ngoma marufu ya kimakonde ambayo ilikuwa ikiburusha wageni katika uzinduzi wa mradi wakumsaidia mtoto wa kike
Meneja wa voda com foundation Bwana Mwakifurefure akiwahutubia wageni walikwa voda com wamehusika katika kuweza mradi huo ambawalichangia kiasi cha shilingi milioni miamoja sitini picha na Chris Mfinanga
No comments:
Post a Comment