Sunday 18 August 2013

BILELE FC MABINGWA WA KAGASHEKI CUP 2013 BAADA YA KUILAZA TIMU YA RWAMISHENYE FC KWA MIKWAJU YA PENATI 5 - 4

 "Mwali" Kombe la Kagasheki Cup 2013 walilotwaa Bilele FC
Timu ya Bilele FC maarufu kama KM 0 imeibuka kidedea baada ya kuilaza timu ya Rwamishenye FC leo walipopambana vikali katika fainali ya kugombea kombe la KAGASHEKI CUP 2013 iliyochezwa kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini
Timu hizo mbili zilitoshana nguvu ya bila kufungana katika dakika tisini za kawaida na hata baada ya dakika zaidi thelathini kuongezwa hakuna aliyefanikiwa kuona lango la mwenziye na hivyo mechi hiyo kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti.

Mikwaju hiyo ikipipwa mchezaji wa Bilele alikosa mkwaju wa kwanza kwa kugonga posti huku Rwamishenye wakipata mkwaju wa penati wa pili. Bilele walimaliza mkwaju wao wa nne na watano kwa kushinda baada ya mkwaju wa nne kupigwa na kipa mwenye wa Bilele na mkwaju wa tano ukipimgwa na mshambuliaji wa Bilele FC.
Mshindi wa pili ni Rwamishenye fc na wa tatu ni Kitendaguro(Makhirikhiri) baada ya kuwachabanga mabao 3-1 timu ya Kashai Fc juzi jioni. Wote walipewa zawadi zao kama zilivyokuwa zimepangwa.

Balaa hapa kila shabiki wa timu ya Km 0, Bilele akishangilia kwa furaha..
Wadau na mashabiki wa Timu Bilele fc wakiwa wanasherehekea ubingwa wa timu yao
"Mwali" Kombe la Kagasheki Cup  likiletwa juu ya jukwaa kuwasubiri Bilele Fc.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki wa pili kutoka (kushoto) anayefata ni Bw. Jamal Malinzi na viongozi mbalimbali
Diwani akishangaa hapa akiwa aamini macho yake mwenye shati ya drafti mbele. ambaye ni diwani wa Bilele na timu iliyoshinda ikitokea kwenye eneo lake na pia amekuwa akiwa karibu na timu hiyo muda wote tangu ligi hii ianze.
Afisa utamaduni akizungumzia Ligi hii iliyopigwa takribani mwezi mmoja.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa muda mfupi baada ya mpira kuisha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa
kombe
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa

Katibu ndugu Malick Tibabimale(kushoto) akiteta na bosi wake Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akiteta na umati mkubwa wa mashabiki waliokusanyika uwanjani hapa
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie mdhamini mkuu wa ligi hii  akitoa zawadi hapa.
wachezaji wakipewa zawadi zao hapa

Baada ya kipa wa Bilele kudaka mkwaju wa penati wa mwisho, wachezaji wa Bilele wakikimbia kumpongeza kipa wao!

No comments:

Post a Comment