Monday 20 May 2013

NMB BENKI IMEFANIKIWA KUONGEZA WATEJA KUTOKA WATEJA LAKI SITA MPAKA WATEJA MILIONI MOJA NA LAKI SABA KWA KIPINDI CHA MIAKA SITA ILIYOPITA

 nmb benki imefanikiwa kuongeza wateja kutoka 600,000 mpaka wateja 1,700,000 kwa kipindi cha miaka sita iliyopita,hayo yalisemwa na ndugu mashaga changarawe kutoka nmb makao makuu katika mafunzo ya wadau wa nmb business club mkoa wa kagera yaliyofanyika katika ukumbi wa smart hotel manispaa ya bukoba.
 ndugu mashaga akieleza huduma mbalimbali za kibenki zinazotolewa na nmb benki,pia aliweza kueleza kuwa kwa sasa nmb benki katika mikopo ya kati inakopesha kati ya shilingi milioni moja na moja mpaka shilingi bilioni moja.
 katibu wa nmb business club mkoa wa kagera,akiwa makini kuandika kinachoongelewa
 mapema mwenyekiti wa nmb business club akifungua kikao cha mafunzo ya ujasiliamali

 afisa wa nmb benki bukoba  beatrice kaiza akielezea huduma za kibenki karibu yako zaidi ..(jisevie)
 wadau mbalimbali walipata nafasi ya kujitambulisha na kueleza kwa ufupi biashara wanazozifanya,pamoja na kueleza faida na changamoto wanazokutana nazo
 mdau pasco pk studio
 mdau mama rugusha
 mdau sieli



 umakini ulitawala na hasa lilipofikiwa somo la kurejesha kwa wakati

 wadau wakimsikiliza mwezeshaji kutoka makao makuu ya nmb benki
 afisa mikopo ya kati nmb bukoba akiwa makini kufuatilia wadau wanachoongea


 mwenyekiti akifunga mafunzo
 smart hotel wamebobea katika maswala ya mapishi wadau wa nmb business club kagera walifurahia




 wadau wakipata chakula
 mdau mama edigar



endelea kuangali jamcobk.blogspot.com piga simu 0754-757157,0788-707027 au 0714-707027

No comments:

Post a Comment