Friday 24 May 2013

REDD'S MISS KARAGWE KUPATIKANA LEO,ISHA MASHAUZI KUTUMBUIZA

 Maelfu ya wakazi wa karagwe na vitongoji vyake leo 25-5-2013 majila ya saa 2.00 usiku watashuhudia mpambano mkali wa kumpata redd's miss karagwe 2013,kwa mujibu wa maelezo ya muandaji ndugu pasco pk,mkurugenzi wapk studio amesema maandalizi yote kwa kiwango kikubwa yamekamilika na wanaimani kila kitu kitakuwa kama kilivyopangwa,akielezea mpango mzima wa burudani amesema isha mashauzi ,bk sande,jimama rose na wengine kibao wamejipanga kutoa burudani ya uhakika,warembo watatu wa nafasi za mwanzo watawakilisha wilaya ya karagwe katika mashindano ya mkoa redd's miss kagera 2013 yatakaofanyika 15-6-2013 katika ukumbi wa lina's.
                     muda mfupi baada ya pre judment iliyofanyika katika ukumbi wa tonya hotel karagwe

        picha ya pamoja wakiwa na redd's miss kagera 2012 baby clara wennye blauz nyekundu na mratibu jamco
            picha ya pamoja warembo wa wakiwa na mratibu wa mashindano mkoa wa kagera jamal kalumuna (jamco)

No comments:

Post a Comment