Thursday 23 May 2013

HAMID ALLY MOHAMED NOORAN ANAETUHUMIWA KWA WIZI WA SHILINGI MILIONI 529.5 APATA DHAMANA .

 mtuhumiwa wa wizi wa zaidi ya shilingi milioni 529.5 ndugu Hamid Ally mohamed Nooran amepewa dhamana baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
 mtuhumiwa ana tuhumiwa kwa wizi wa fedha za mfanyabiashara wa miaka mingi manispaa ya bukoba,mmiliki wa kituo cha mafuta ABOOS na mwenyekiti wa shirika lisilo la serikali linalosaidia walemavu mkoa wa kagera  IZAAS MEDICAL PROJECT mzee Raza fadhal
                                                            waandishi wa habari wakiwa kazini


                                                mke wa mtuhumiwa akiwa anaficha uso wake
                                                      angalia jamcobk.blogspot.com kwa habari za uhakika

No comments:

Post a Comment