Thursday, 23 May 2013

WAENDESHA MAGARI,PIKIPIKI NA BAISKELI BAADHI YAO WAMEKUWA HAWAJARI ALAMA ZA WAPITA KWA MIGUU NA HASA BARABARA YA KASHAI NA KASHOZI NYAKATI ZA ASUBUHI NA JIONI UNAPOKUWEPO MSONGAMANO WA WATU

 Ni eneo la shule ya msingi tumaini nyakati za asubuhi  kumekuwepo na waendesha pikipiki na,baiskeli kwa kiasi kikubwa kutoheshimu  sheria katika maeneo ya watu waendao kwa miguu kuvuka,mara nyingi muda wa asubuhi askari wa usalama barabarani wanakuwepo ktk maeneo hayo kwa ajili ya kuvusha wanafunzi,baada ya muda wa wanafunzi maeneo hayo utaratibu  unakiukwa kwa kiwango cha juu
 ni wanafunzi wakisubiri kuvuka  maeneo ya sido bukoba,japo eneo hilo alama za zebra hazionekani vizuri

 mara nyingi asubuhi barabara ya kashozi hali inakuwa hivi


                                                            mkubwa anashika mdogo waweze kuvuka

                                                 kabeba, mama ,  mtoto na dereva....
                                                                         hebu tazama picha hii.......

No comments:

Post a Comment