Sunday 19 May 2013

WAREMBO REDD'S MISS MULEBA WAANZA KUWASILI KAMBINI,TID NA DYANA NYANGE KUSINDIKIZA WAREMBO 31-5-2013 WAISUKA MULEBA

Tid na dyna nyange watatoa burudani katika kinyanganyiro cha kumsaka redd's miss muleba 2013
 kamati ya maandalizi  redd's miss muleba mapema leo imeanza kupokea warembo kwa ajili ya kambi inayoanza rasmi kesho jumatatu, hawa ni baadhi ya warembo wakiwa jamco barber shop kwa ajili ya kupelekwa kambini,warembo 12 kutoka vitongoji vya rubya,kishanda,kamachumu,nshamba,kamishango,kibanga,mbunda,buleza,kagoma,gwanseli na muleba mjini watachuana vikali 31-5-2013 kwenye ukumbi wa waisuka muleba
 mchuano mkali utakuwepo kwa warembo hawa
 mshiriki kutoka kamishango kaishawasili
 hapa mratibu wa maandalizi jamal kalumuna wakiwa jamco barber shop muda mfupi kabla ya kuelekea kambini,warembo wote kufikia kesho jumatatu watakuwa wamekamilika na kuanza mazoezi ya kujifunza dansi kwa maana show ya mamiss,jinsi ya kutembea nk

No comments:

Post a Comment