Camera yetu mto ngono,mkondo wa maji unatoka mto kagera,tumekuta wakazi wa maeneo haya wakiendelea na shughuli za kawaida katika mto huo,wakazi wamaeneo haya hutumia maji ya mto huu kwa matumizi ya nyumbani,na uvuvi,lakini wafugaji huleta mifugo yao kwa ajili ya mifugo kama ngo'mbe kunywa maji japo kuna kibao cha kuzuia mifugo kutumia maji hayo
katika hali isiyo ya kawaida takribani zaidi ya mika kumi iliyopita kuna dereva wa gari la chama cha ushirika kcu ltd alipotea katika maeneo ya mto ngono,yasemekana alisimamisha gari kwa ajili ya kujisaidia naharejea kwenye gari ,hakuwahi kuonekana mpaka leo.
ni daraja la mto ngono
shughuli za uvuvi uendelea katika mto ngono,na mtu huyu anavua kwa kutumia chandarua
vijana wakiwajibika kuvua samaki mto ngono
camera yetu na wadau wakitokea maeneo ya mutukula ilibidi wasimame kidogo maeneo ya mto ngono, kapten mwasa na mdau haruna
maji ya mto ngono ni meusi sana
tatizo la maji maeneo ya vijijini bado ni tatizo kubwa, mama na mtoto walikutana na camera yetu mto ngono wakija kuchota maji ya matumizi ya nyumbani
jk blogger sikusita kupata picha kama kumbukumbu ya uwepo wangu katika eneo la mto ngono
mama akichota maji mto ngono,swali langu nini kifanyike kusaidia wakazi wa eneo hili kupata maji katika maeneo yao kusaidia akina mama na watoto kufuata maji kwa kwa mwendo mrefu
wadau wakiangalia mandhali ya mto ngono
samaki wanaopatikana mto ngono
bonge la pozz
kijana akiogelea mto ngono
bonge la picha mto ngono
ni kibao kinazuia mifugo kuletwa katika mto ngono kunywa maji
No comments:
Post a Comment