Monday 20 May 2013

WANACHAMA WA NMB BUSINESS CLUB WAPEWA MAFUNZO YA UJASILIAMALI,KUKUZA KIPATO CHAO NA KUBORESHA BIASHARA ZAO


 Mafunzo ya nmb business club yamefanyika katika ukumbi wa smart hotel iliyoko nyamkazi bukoba manispaa leo 20-5-2013
 wanachama na wadau wa nmb business club wakiwasili katika ukumbi wa smart hotel
i

 wadau wa business club kagera


 ndugu Mashaga changarawe MSE MANAGER NMB BANK
 mdau Firbert nyerere
 Ndugu ndyamuka mdau wa business club kagera
 mwenyekiti wa business club kagera Faustin karugendo akiwa na katibu wake maarufu kama mama Twina wakiweka mambo sawa kabla ya mafunzo kuanza
 meneja nmb bank bukoba orobogast mushobozi mwenyeji wa mafunzo ya business club kagera
 wadau wakisikiliza mafunzo kutoka kwa mwezeshaji
 wadau wakiwa makini kujifunza mafunzo ya ujasiriamali
ni mojawapo ya kipeperushi kinachoonyesha huduma mbalimbali zinazotolewa na nmb bank,habari kamili usikose hapo badae ,tutakuwekea nini kimejiri leo katika mafunzo ya business club kagera yanayoendelea hapa smart hotel

No comments:

Post a Comment