Sunday 2 August 2015

CCM BUKOBA MJINI YATANGAZA MATOKEO YA KURA YA MAONI UBUNGE.

 Mwenezi wa ccm  Bukoba mjini Bw Ramadhani Kambuga akitangaza rasmi matokeo ya kura za maoni za Ubunge na madiwani Manispaa ya Bukoba, Wagombea walikuwa wanane,Balozi Kagasheki kura 6971, Amani Anatory kura 944, George Lubeiyukya kura 113, Bw Kaijage kura 71, Kataraiya kura  53,Katabazi kura 34, Rwezahura kura 29,Elieth Lukomoka kura 19.
 Haya ndio matokeo.
 Katibu wa ccm Bukoba mjini  Bw Mwadalu akiongea na waandishi wa habari.
 Waandishi wa habari wakichukua matokeo katika ofisi za chama.
 Kituo cha NHC Kashai.
 Balozi Kagasheki akiteta jambo na na Bw Samora Lyakurwa alieshida kura za maoni katika kata ya Kashai kwa kura za kishindo.
Ni katika kituo cha matopeni Kashai.

1 comment:

  1. Walopeta katika kura za maoni furaha zisipite 100% uwezo mbakishe uchaguzi mkuu nakuombeena fari njema

    ReplyDelete