Saturday, 7 February 2015

BW JULIUS RUGEMALIRA AWATAKA UMOJA NA MSHIKAMANO WANANCHI WA WILAYA YA MISSENYE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

 Bw Julias Rugemalira mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm Taifa ambae alikuwa ni mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya chama cha mapinduzi wilaya ya Missenye akikaribishwa na Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya missenye Bw Babeya.Sherehe hizi ziliandaliwa na jumuia ya umoja wa vijana wilaya ya Missenye.
 Bw Julius Rugemalira,mgeni rasmi ambae mnamo mwaka 2010 alikuwa ni miongoni mwa wagombea ubunge wa jimbo la Nkenge,ambae kwa vanzo vya habari zetu upo uwezekano mkubwa mwaka huu kujitupa kwenye kinyanganyiro.Mtu mmoja aliejitambulisha kwa jina la Joseph Kempanju alisema Huyu Kijana wana Nkenge tulifanya makosa makubwa 2010 sasa wakati umefika akitangaza nia tu nitapita Jimbo zima maana anaweza,Tulipozugumza na Bw Julias alisema wapo wengi sana wa aina hiyo wananiomba nigombee,ila chama chetu kina taratibu zake wakati ukifika nitazungumza, ila hali ilivyo wana Nkenge wananihitaji sana na si vizui kukaidi au kudharau matakwa ya watu.Maana natosha kabisa kuwa Mbunge.
 Aksalimiana na wanachama.
 Mgeni rasmi akipokea risala.
 Mwenyekiti wa vijana wiaya ya Missenye Bw Babeya.
 Mh Diwani wa kata ya Ishozi.
 Wamama wakiburudika.
 Zawadi kwa mgeni rasmi.
 Mwenyekiti wa uvccm Missenye akimkabidhi mgeni rasmi  hati ya shukrani kutambua ujio wake.
 Baada ya yote ikapingwa mechi.
Kipenga ndio kimepulizwaaaa.

3 comments: