Saturday 7 February 2015

ANETH KEMPANJU AFANYIWA SEND OFF,NYUMBANI KWAO ITAHWA BUKOBA,LEO 7-2-2014.

 Ni siku ya furaha katika familia ya Mzee  Charles Kempanju wa Itahwa Bukoba ,wakimuaga binti yao mpendwa  Aneth Kempanju anaetarajia kufunga pingu za maisha wiki ijayo huko Mkoani Geita.Bi Aneth Kempanju alipopewa  kipaza sauti mbele ya umati mkubwa ulifurika katika sherehe ya kumuuga akiwa amemshika mkono Mme wake mtarajiwa mbele ya wazazi wake alitamka maneno yafuatayo Wazazi wangu mmenilea kwa malezi mema na mmenionyesha upendo mkubwa sana,ila leo pendo jingine limejitokeza ndani ya moyo wangu ni Lau mme wangu mtarajiwa naomba mumpokee.
 Bw Lau mtarajiwa wa Aneth.
 Mzee Kempanju na mkewe wakiingia ukumbini.
 Wanachama wa mama Aneth.
 Wageni waalikwa.
 Wazazi wa Bw harusi mtarajiwa.
 Karibuni wageni wtu kutoka Geita.
 Mawifi.
 Matroni akiingia ukumbini.
 Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
 Mwenyekiti akifungua sherehe.
 Mzee Kempanju na mke wake wakikaribisha wageni.
 Baba mzazi w Bw harusi mtaajiwa akisalimia.
 Aneth akimtambulisha mme wake mtarajiwa.
Matukio yataendelea.

No comments:

Post a Comment