Thursday 3 July 2014

SHEREHE YA KUMUAGA BI CELINA KAJERELO ALIESTAAFU UTUMISHI WA UMMA HOSPITAL YA MKOA KAGERA

 Bi Celina kajerelo katika picha aliekuwa  akifanya kazi kama muuguzi katika hospital ya Mkoa wa Kagera

 Watoto wa muagwa wakimpa mama yao zawadi na kumpongeza kwa kuwalea na kuwasomesha
 Baadhi ya wageni waalikwa katika ukumbi wa Lina's
 Wajukuu wakiwa wametangulia muagwa akiingia ukumbini
 Mwenyekiti wa sherehe akifungua
 Neno la dini likatolewa
 Aliet akiwa na mdogo wake watoto wa muagwa
 MJUKUU WA MUAGWA
 Ikachezwa ngoma kwa raha zao
 Wajukuu wakimuimbia bibi yao
 Kushoto ni Muuguzi mkuu akiwa na muagwa
 Zawadi time...
 Watoto wakamwagia mama yao zawadi za ukweli..
 CHADELVA Hope Makoko sambamba na Lily
 Msosi time...


Ongera sana mama yetu kwa kustaafu

No comments:

Post a Comment