Tuesday 20 May 2014

MAZISHI YA PIUS MKULASI LUGUMAMU KIJIJINI KWAO BUKOBA VIJIJINI

 Jeneza la marehemu Pius
 Katikati ni Jeniveva dada wa marehemu akimpokea kaka yake Inocent katika uwanja wa ndege Bukoba anaeishi nchini Marekani
 Inocent anakutana na ndugu  zake hospital  ya Mkoa Kagera motury kwa ajili ya kuchukua mwili wa marehemu

 Kushoto ni mama mzazi wa marehemu
 Wakati wa chakula
 Mjadala kidogo
 Heshima za mwisho kwa marehemu
 Padre akiongoza ibada ya misa
 KUELEKEA MAKABURINI
bW Inocentakitoa neno la shukrani
Pumzika kwa amani Pius

No comments:

Post a Comment