Monday 19 May 2014

JAHAZI MODERN TAARABU KUWASHA MOTO BIHARAMULO 20-5-2014

 Familia ya Pedeshee Adam GM na Mwinyi vihicle( katika picha) wanawakaribisha wapenzi wote wa Jahazi Modern Taarabu katika Wilaya ya Biharamulo siku ya Jumanne 20-5-2014 katika ukumbi wa Rest house  kuanzia saa 2.00 usiku kiingilio ni 10,000 tu, njoo umuone Mzee Yusufu akizindua albam mpya.
chezeaaa Jahazi modern taarabu weweeeeeeeee....

No comments:

Post a Comment