Thursday 22 May 2014

AZIZI HUSSEIN KICHWABUTA AFUNGA NDOA NA BI ANIFA HAMIMU KAJUGUSI JIJINI MWANZA

 Mr & Mrs Azizi kichwabuta katika tabasamu baada ya kufunga nikkah
 Mzee kichwabuta,Murungi kichwabuta akiwa na mumewe Badru kichwabuta, kabla ya kuelekea Pansias kwa ajili ya shughuli ya ndoa
 Mjomba wa Bwana harusi Matunda
 Mama Aisha katika pozz
 Bwana harusi akiwa na dada yake Johari kichwabuta
 Msafara ukielekea kwa Bi harusi kufunga ndoa
 Shekhe Haruna kichwabuta akiongoza msafara wa Bw Harusi kwenye nikka
 Nyumbani kwao na Bi harusi
 Bw Kazinja nae katika msafara
 Katikati ni MAMA MZAZI WA  AZIZI
 Shekhe akisoma khutuba ya ndoa
Ndoa ikifungwa
 Bw Azizi akisaini cheti cha ndoa
 Kaka wa bi harusi akisaini cheti kama shaidi
 Bw harusi akipongezwa anasalimiana na Alhaji Omary
 Bi Anifa akiwa na mama yake mzazi
 Bw Siraji kichwabuta akitoa utambulisho wa familia
 Bw Minja na Bw Ernest wakiwa katika shughuli za kikazi jijini Mwanza alipata fursa ya kushiriki
 Bw Harusi akitoa dola za kimarekani kumfunua mke wake mara baada ya kufungishwa ndoa
 Ni dola za kimarekani hizooooo
 Karibu maziwa mme wangu mpenzi
 Wakati wa chakula
 Ni wakati wa kumpeleka mkewe
 Mama Aisha ndani ya nyumba
 Kwa mapozz yao
 Ndoto yangu imetimia nimemuoa Anifaaa....
 Wakiwa na wazazi wao
ANIFA AKIWA NA MAMA MKWE
 AZIZI AKIWA NA MAMA MKWE
 Hakika leo yametimia
 Cheerssss
 Japo alibanwa ofisini lakini alifika
 Ongera mama Johari

No comments:

Post a Comment