Monday 19 May 2014

JOSIAH GIRL,S WAFANYA MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA

 Mkuu wa shule a Josiah akingia ukumbini na mgeni rasmi  Sister Clara Rupia ambae ni  mkuu wa chuo cha SAUTI Bukoba
 Wanafunzi
 Binti akiimba wimbo wa Taifa
 Wahitimu wa kidato cha sita
 Wahitimu wakitoa neno la shukrani
 Wazazi
 Mzazi akitoa zawadi kwa uongozi wa shule
 Mmliki wa shule Mzee Joseph Masabala akiwa anafurahia zawadi
 Mambo ya Kwaitoooo
 Walimu
 Walimu
 Walimu
 Mwenyekiti wa bodi Mzee Rutabingwa akielezea jinsi SHULE YA JOSIAH ILIVYOJIPANGA KUMUINUA MWANAMKE KATIKA SWALA LA ELIMU
 Mgeni rasmi akimkabidhi cheti muhutimu
 Bw Keshomshahara akitoa neno la shukrani
 Mzee Mashasi
 Mandhari ya ukumbi wa Bukoba hotel
 Wakati wa chakula
 Wahitimu wakipata chakula
Ongereni  kwa mahafali kwisha salama

No comments:

Post a Comment