Wednesday 21 May 2014

MAPOKEZI YA WAGENI KUTOKA BUKOBA NA DAR WAWASILI MWANZA KWA AJILI YA KUSHIRIKI HARUSI YA AZIZI KICHWABUTA ITAKAYOFUNGWA 22-5-2014

 Murungi kichwabuta akikaribisha wageni  kutoka Bukoba jijini Mwanza maeneo ya Kaloleni Lodge Mabatini
 Bw Harusi mtarajiwa Azizu kichwabuta mwenye Tshirt nyeupe akikaribisha wageni
 Karibu Shekhe Adinan
 Ni furaha
 Mc Baraka tayari yuko jijini kuwabarisha kitakachojiri kupitia Bukobawadau akiwa na Bw Harusi mtarajiwa
 Bw Matunda mjomba wa mtarajiwa nae kawasili kutokea Bukoba
 Bw Bushira nae ndani ya nyumba
 Mama mzazi akionyesha furaha yake kwa mwanae, wakipokea wageni

 Hatimae kaka mkubwa akawasili Maji kichwabuta
 Salumu mawingu nae ndani ya nyumba
 Mambo yameiva
 akafika Yusuf Nassibu akisalimiana na Salumu Mawingu
 AKAWASILI  Baba wa familia SHEKHE Haruna Kichwabuta Kaimu shekhe wa Mko Wa Kagera
 Karibu Haruna Goronga
 Kijana Mukram hakika shughuri ni watu na watu ndio wamefika, tusubiri kinachofuata
 Akawasili Kaka mkubwa wa Familia Badru Kichwabuta kutoka Bukoba
 Akawasili Baba Mdogo Kichwabuta kutoka Dar akisalimiana na Badru
 Zi kapigwa pichaza kumbukumbu
 Mmependeza
Picha ya mama mzazi na mama wadogo

No comments:

Post a Comment