Monday 19 May 2014

JAHAZI MODERN TAARABU YAPAGAWISHA MASHABIKI LINA'S

 Bw Inocent akiwa na mkewe ndani ya Lina's
 Hakika kila mmoja alikuwa akionyesha ufundi wake
 Wamama walipendeza usipime
 Bw Sudi na mkewe
 Kataa mauno....
 Ulifika wakati unamkalia mtu
 Huyu bwana alishindwa kuvumilia akampanda mtu mgongo
 Green Cafe waliwamic wakaamia Lina's
 Hii ni kidosi stlye
 Mh Ibrahimu Maburuki ndani ya nyumba
 Wakicheka na Camera
 Watu walikuwa nyomi wanasema vijana wa mjini
 Mama yuko busy akichukua matukio
 Mkurugenzi wa Lina's akiwa na wazee wengine
 Chezea simu za viwango weweeeeee
 Haya sasa wa mbele aje nyuma na wa nyuma aje mbele
 Mzee yusuf akiwapagawisha wapenzi
 Jamco akiwa na Charles Mwibea wa TBC na Mariamu wa Star tv
 Wa mama walipendeza kweli
 Bi Zubeda alitokelezea

 Ahaaaaaaa si Jamco huyoooooo
 Waimbaji wa Jahazi

 Handsome Boy akicheka na camera
 Mdau mkubwa wa jamcobukoba.blogspot.com
 Jiulize mdosi na Taarabu,ila alikuwa anatafrisiwa maana.
 Mdada mmmmm
 Bi Asha na wenzake walitokelezea
 Mpenzi niko nimelala,ila muziki wa taarabu huko juu, nina usingizi.... kesho basi...
 Mmmmmmmm

 Kijana Jerry na koti lake

 Masauti
 Jovin akiwa na ammpendae
 Picha hii inaonyesha upendo wa dhati
 Bw Bushira na Warembo
 Bi Hawa Hasan
 Dada akapewa mic akawapagawisha wapenzi
 Na huyu dada nae akapewa mic
 Mwaga radhi mtoto wa kike
 Bety Nangai katika pozz
 Na wa Muleba walifika kushuudia
 Mmmm majanga
Ndio yaliyojili Lina's usiku wa Jahazi modern taarabu.

No comments:

Post a Comment