Thursday 6 March 2014

NI MIPANGO TU POPOTE INAWEZEKANA ONGERA MR & MRS JUSTINE JUSTUCE,SHEREHE ILIFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA RUBYA MULEBA BUKOBA

 Bw na Bi Harusi katika pozz
 Mapadri walioongoza ibada  ya ndoa
 Wanafamilia wakisikiliza maubiri ya ndoa kanisa katoriliki la Rubya
 KATIKATI Mama Leoleo akitafakari matarajio yake
 Mke wangu nakuvisha pete hii iwe insharah ya uaminifu wangu na upendo wangu kwako, nitakupenda, nitakulinda, nitakuheshimu siku za maisha yangu yote
 Maeneo ya Rubya Hospital panaitwa Nyakaina
 Mwenyekiti wa sherehe akifungua
 Ni pozz tu wala usistuke
 Mc Jerry full vituko
 Shampein zikafunguliwa
 Kunywa mke wangu
 Kula mke wangu
 Mc Jerry akirishwa keki kwa niaba ya  mabachera wazoefu wote,ilikuwa ni vicheko ukumbi mzima
 Wadad waliochangamsha harusi hii
 Maisha ya ndoa yahitaji kuvumiliana na kusameana
 Watoto wakitumbuiza kwa nyimbo zao
Maharusi wakingia ndani

No comments:

Post a Comment