Friday, 20 February 2015

MKOA WA KAGERA WAZINDUA RASMI ZOEZI LA USAMBAZAJI WA NAKALA ZA KATIBA PENDEKEZI.

 Katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella akimkabidhi Katiba Pendekezi  Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Sued Kagesheki,Mh John Mongella amesisitiza viongozi wote kuhakikisha katika Mkoa mzima wananchi wanapata katiba pendekezi na kuisoma ,na baada ya hapo watumie haki yao ya msingi kushiriki katika kura ya maoni ya katiba,pia amewataka wananchi kuangalia zaidi masrahi ya Taifa kuliko masirahi binafsi katika katika zoezi la upigaji kura ya maoni ya katiba pendekezi.
 Aliekuwa Mkuu wa Wilaya ya Missenye Kanal Mstaafu Issa Njiku akisalimiana na Baba Askofu Methodius Kilain.
 Makamu Meya wa Manispaa ya Bukoba(kushoto) akiwa na Bw Chuma.
 Mh Kagasheki akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa Kagera Nassor Mnambilla.
 Mchungaji James akiteta jambo na MH Kagasheki.
 Kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Bukoba Vijijini Capt Kateme akiwa na Katibu wa ccm Mkoa wa Kagera.
 Kushoto Diwani wa Kata ya Kagondo Anatory Aman akiwa na  Diwani wa Kata ya Kahororo Chief Kalumuna.
 Katibu Tawala wa Mkoa Kagera Nassor Mnambilla.
 Mkuu wa Mkoa akiongea na viongozi mbalimbali.
 Mkuu wa Mkoa akizindua rasmi zoezi la usambazaji katiba pndekezi katika Mkoa wa Kagera.
 Mbunge wa Nkenge Mh Asumpta.
 Mbunge viti maalum Mh Elizabert Batenga.
 Mbunge wa Bkoba vijijini Mh Jason Rwekiza.
 Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Kagera Costansia Buyiye.
 Katibu wa Kagera Press Club Bw Finias Bashaya.
 Mmiliki wa Jamcobukoba.blogspot.com Jamal Kalumuna.
 Mtangazaji wa Redio Kasibante Richard Kalumuna.
 Mwandishi wa habari TBC Charles Mwibea.
 Waandishi wa Habari Bi Enjoe(kushoto) na  Bi Mariamu wa Star Tv.
Baba Askof Methodius Kilaini akifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusiana na mchakato wa Katiba.

No comments:

Post a Comment