Friday 20 February 2015

MAZISHI YA MAREHEMU PASIANUS RUGEMALIRA YAFANYIKA NYUMBANI KWAKE ISHOZI.

 Ilikuwa ni simanzi na majonzi makubwa katika familia ya marehemu Pasianus aliefariki 16-2-2014.
 Kulia ni Bw Ben Kataruga akiwa na Bw Kamala.
 Wanakijiji wakisikiliza maubiri ya mazishi.
 Mchungaji akiendelea na maubiri.
 Ni picha ya marehemu.
Bw Optat Rwebugisa akiwa msibani.
 Kushoto ni mama mzazi wa msanii maarufu Elizabert(Lulu) akiwa na Bw Jamco baada ya mazishi.
Jamcobukoba.blogspot.com inawapa pole wafiwa.


No comments:

Post a Comment