Monday 16 February 2015

JUMUIA YA MANDELEO KANYIGO(JUMAKA) YATIMIZA MIAKA MITANO,MLEZI BW JUSTUCE RUGAIBULA AWACHANGIA LAKI TANO KUTUNISHA MFUKO.


 Jumuia ya maendeleo Kanyigo (Jumaka) ni umoja wa watu wazaliwa wa Kanyigo ambao wengi wao wanaishi Manispaa ya Bukoba,wamesherekea miaka mitano tangu umoja wao uanzishwe,Jumuka ilianzishwa Feb 2009.Bw Justuce Rugaibula ambae ni mlezi wa Jumuia ya Maendeleo ya Kanyigo ambae hakuwepo alimtuma mwakilishi wake BwJamal Kalumuna.
 Bw Jamal Kalumuna(kulia) akikabidhi kiasi cha shilingi laki tano zilizotolewa na Mlezi Bw Justuce Rugaibula, mbali na mchango huo kwa ajili ya kutunisha mfuko, Bw Justuce aliwapongeza kwa kutimiza miaka mitano,na aliwapongeza kwa kazi nzuri sana zinazofanywa na umoja huu,pamaja na kusaidia katika mambo mbalimbali lakini pia umoja huu kujikita katika kusaidia mambo mbalimbali katika jamii.
 Kushoto ni  Mzee Joas Kahiula, Mwl Geogina Baitu(aliemwakilisha mgeni rasmi Bw  Michael Njumba) Mwenyekiti wa Jumaka Bw  Samson Mukayu wakiingia ukumbini Coffe Tree Hotel Bukoba.
 Kiongozi wa dini akifungua sherehe kwa sala.

 Ikakatwa keki.
 Akalishwa mgeni rasmi.
 Kulia ni Katibu Bw Methew Maburuck.
 Mary Group wakitumbuiza.
 Omutomaaaa.
 Utambulisho wa viongozi wa Jumaka.
 Mwenyekiti akiongea.
 Wana Jumaka wakisalimia waalikwa.
 Wakaribishwa vyama vingine.
 Wakaribishwa.

 Msanii Babu Rweyemamu.
 Ilikuwa ni staili ya aina yake kila alievaa suti aliambiwa atoe chochote,Ni ubunifu wa Msanii Babu Rweyemamu,kisha  mapato akakabidhi kwa mweka hazina wa Jumaka.
 Mwenyekiti akisoma risala.
 Bw Jamal kalumuna akitoa neno kwa niaba ya mlezi Bw Justuce Rugaibula.
 Bw Christopher Karulama ,mjumbe wa Jumaka akipokea zawadi.
 Mc akiongoza ratiba.
 Sala ya chakula.
Wageni waalikwa wakisakata rumba kusherekea miaka mitano ya wana Jumaka,jamcobukoba.blogspot.com inawatakia kila rakheri katika happy birthday yenu ya miaka mitano.

No comments:

Post a Comment