Friday 13 February 2015

ALMACHIUS KIRAJA NA NEEMA MACHUME WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.

 Ni wakati wa Bw Almachius Kiraja na Bi Neema Machume mbele ya waumini na watu mbalimbali walioudhulia ibada takatifu ya ndoa katika kanisa katoliki Cathedral Bukoba Manispaa wakiwe weka mkataba wa maisha katika maisha ya ndoa, katika raha na shida.
 Fr Deo akiwafungisha ndo takatifu.
 Ni pete baada ya kila mmoja kukubari kuwa na mwenzake.
 Kulia ni Bw Peter Matete shaidi wa ndoa akishuhudia vyeti vikisainiwa.
 Kushoto ni Mama Mzazi wa Bw Harusi.
 Wazazi wa Bi harusi.
 Bw Rahym akimpongeza Bw Kiraja.
 Ni busu nikubusu tuonyeshe ishara ya upendo.
 Kaka wa Bw Harusi na familia yake.

Tutaendelea kuwaletea matukio mengine.

No comments:

Post a Comment