Wednesday 11 February 2015

KAMANDA WA VIJANA CCM MKOA WA KAGERA DIONIZ MALINZI KUSIMIKWA RASMI 15-2-2015 JUMAPILI,MGENI RASM NAPE NNAUYE.


 Mgeni rasm ni Mh Nape Nnauye.
 Mh Balozi Kagasheki akiongea na mtangazaji wa Kasibante Redio 88.5 kuamasisha wananchi wajitokezi kwa wingi kuja katika mkutano wa hadhara na usimikwaji wa Kamanda.
 Katibu wa Vijana Mkoa wa Kgera Bw Didas Zimbihile akiongea na vyombo vya habari ratiba nzima ya shughuli itakavyokuwa..
 Bw Shafi Lugomba Katibu uhamasishaji na chipukizi Mkoa wa Kagera akiwa akiwa na Bw Didas wakionyesha moja ya T,shirt zitakazofaliwa.

Wananchi wote mnakaribishwa Uhuru Platform 15-2-2015 kuanzia saa nane mchana.

No comments:

Post a Comment