Wednesday, 8 June 2016

RUGAMBWA GIRLS FOUNDATION WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WALEMAVU WANAOSOMA RUGAMBWA SEKONDARI.

 Taasisi ya Rugambwa  foundation iliyoundwa na wanafunzi wahitimu wa shule ya sekondari ya wasichana Rugambwa wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya kila siku kwa wanafunzi walemavu wa aina mbalimbali wanaosoma katika shule ya sekondari Rugambwa. vitu vilivyo tolewa ni kalumu,sabunu,dawa za meno,mafuta ya kujipaka, lotion maalum kwa ajili ya walemavu wa ngozi na taulo za kujihifadhi kwa wasichana(pad) pia wanafunzi wote wenye mahitaji maalum wamelipiwa huduma ya bima ya afya (NHIF) kwa kipindi chote watakachokuwa shuleni,wanafunzi 21 wenye ulemavu wa viungo, vipofu, viziwi na walemavu wa ngozi wamenufaika na msaada,mgeni rasmi katika hafla hii alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Jakson Msomi.(katika picha mgeni rasmi akikabidhi zawadi)
 Baadhi ya waafunzi walemavu.
 Wanafunzi wa zamani waliohitimu Rugambwa.
 Bi Janeveva  Lugumamu akiwa katika picha na wanafunzi walimavu.
 Kulia ni Bi Georgia George na Bi Nyesige Mtembei wahitimu wa Rugambwa miaka ya nyuma.
 Kushoto Bi AGRIPINA mwanafunzi mhitimu miaka hiyooooo.
 Wanahabari kazini.
 Vipaji katika kucheza.
 Bi Georgia akaamua kutoa ofa kwa wanafunzi wote wa Rugambwa soda.
 vipaji vya kucheza.
 Mkuu wa shule Rugambwa akifungua hafla.
 Bi Janeveva akieleza kwa ufupi historia fupi ya Rugambwa girls foundation.
 Wakijitambulisha wahitimu wa zamani Rugambwa.
 Bi Nyesige Mtembei akisoma risala kwa niaba ya wana Rugambwa girls foundation.
 Afisa Elimu wa mkoa akitoa neno.
 Mgeni rasmi akitoa neno.
 vifaa vilivyoletwa.
 picha ya pamoja na mgeni rasmi akiwa na wanafunzi waliosomea Rugambwa sekondari miaka ya nyuma(Rugambwa girls foundation)
 Mwl Rehema akitoa maombi maalumu kwa mgeni rasmi kufuatia upungufu wa walimu wa baadhiya masomo kwa wanafunzi wenye ulemavu.

 Kaimu mkurgenzi manispaa ya Bukoba akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment