Tuesday 23 December 2014

IBADA YA MISA YA KUMALIZA MATANGA YA MA WINIFRIDA .K. KALEMELA ILIYOFANYIKA IZIGO KAMACHUMU

 Ni picha ya pamoja ya familia katika kaburi la marehemu Ma Winfrida Kalemela.Marehemu amitimiza mwaka mmoja tangu afariki.
 Wa kwanza kulia ni mme wa marehemu mzee Agustin Kalemela akiwa katika ibada.
 Mapadre waliongoza ibada ya kumaliza matanga.
 Mtoto wa marehemu Mary Kalikawe(kushoto)akiwa na mwanae.
 Mtoto wa marehemu.
 Mzee Superi ,mwana familia.
 Mjukuu wa marehemu.
 Mtoto wa marehemu.
 Familia ilitoa zawadi ya mavazi ya padre kama shukrani.
 Mtoto wa marehemu akiwa na baba yake alichangia kiasi cha shilingi milioni moja kusaidia ujenzi wa kanisa la Kabahangoma.
 Majonzi.
 Ni watoto yatima wanaosomeshwa na kufadhiliwa na moja ya shirika lililokuwa likifadhiriwa na marehemu, kwa sasa linaendelezwa na wanae chini ya mtoto wa marehemu Ngonzi Kalemela.
 Watoto wa marehemu wakilia kwa uchungu mara walipowaona watoto yatima waliokuwa wakisaidiwa na mama yao wakati wa uhai wake.
 Mjukuu wa marehemu.
 Mchungaji Joas mkurugenzi wa shirika linalosaidia watoto yatima akitoa shukrani kwa familia kuendeleza  yalioachwa na marehemu.
 Hawa ndio watoto yatima,baadhi yao wapo shule ya msingi na wengine sekondari.
 Mzee Mwandiki akiwa na mama Mary Kalikawe wakitee jambo.
 Kwaya ya kanisa la Rutabo ikitumbuiza.
 Mjukuu wa marehemu akiongea.
 Bwana Salumu Mawingu akiongea jinsi alivyokuwa akimjua marehemu na familia kwa ujumla.
 Watoto wa marehemu.
 Meneja wa Kiroyera Tours Bw Wily Ruta akitoa salamu kwa niaba ya kampuni, maana Mkurugenzi wake Mama Mary Kalikawe ndio anamaliza matanga ya mama yake mzazi.
 Mwentekiti wa shughuli nzima akishukuru.
 Wajukuu katika pozzzz
 Ngonzi akiwa na baba yake.
Pumzika kwa amani mamas yetu mwanga wa milele umwangazie ee bwana.

No comments:

Post a Comment