Wednesday 11 December 2013

NPF NET LINDI YATOA MSAADA KATIKA KAMBI YA WAZEE NA WALEMAVU LINDI




makabidhiano 48628
Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi wanawake mkoaniLindi, ambaye pia ni Kamishna msaidizi wa Jeshi hilo,Acp Renatha Mzinga,akikabidhi sehemu
ya msaada wa vyakula Muuguziwa kambi ya wazee wasiojiweza wa Rasibura,Manispaa ya Lindi,Bi,Elizabeth Njowele
TPF NET 1 2e7e8
Kamishna msaidizi wa Jeshi la polisi,Bi Renatha Mzinga pamoja na wanachama wa mtandao wa Polisi wanawake wakishiriki kazi ya usafi katika kambi ya wazee na walemavu Mkoani Lindi zingine mwenyekiti huyo wa Mtandao wa Polisi
TPF NET 2 06f92
            Wana mtandao wa Polisi wakiendelea na zoezi la usafi
TPF NET 3 06187
        Picha tpf 3.Bi Somoe Abdallah (KULIA)Akiwa na Bi Fatuma Ismail na Bi Esha Hussein Kassembe wakiwa kati kambi hiyo ambapo Wana Mtandao
walijitolea kufanya Usafi na Kutoa misaada mbalimbali 
TPF NET 4 f55e1
                mtandao wa Polisi wakiendelea na zoezi la usafi)

No comments:

Post a Comment