Wednesday 11 December 2013

FIVE STARS BOYS TIMU YA WATOTO WAPATA MWALIKO WA MKUU WA MKOA WA KAGERA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI MULEBA NA KAITABA KATI YA TAREHE 20-12-2013 HADI -1-1-2014

T
 Timu ya Watoto  wadogo ya mpira wa miguu iliyopata mwaliko wa Kanal Fabian Massawe Mkuu wa Mkoa wa Kagera

                                       Five Star Boys wakiwa mazoezini  kwa maandalizi ya kuja Bukoba
         Kocha  wa Five Star Boys akiwa kwenye mazoezi na watoto anaojiandaa kuja Bukoba
                                                            Kikosi kinachokuja Bukoba
Kikosi cha Timu ya watoto kati ya miaka 8-10 ambao watatoa burudani safi katika manispaa ya Bukoba na Muleba,Ziara ya watoto hawa inadhaminiwa na  Point View Hotel Muleba   

No comments:

Post a Comment