Monday 9 December 2013

WALIMU WA JOSIAH GIRL'S HIGH SCHOOL BUKOBA WAPATA MAFUNZO NAMNA YA KUFUNDISHA MASOMO KWA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHENYE MITAALA (OPPORTUNITY EDUCATION TABLETS)

 Mkuu wa shule ya Josiah Girl's High School akiwa anaangalia kifaa chenye mitaala kwa ajili ya kufundisha wanafunzi,Semina ya  kutumia vifaa hivi imetolewa na Opportunity Education Foundation
                                     Walimu  wakifuata  maelekezo kutoka kwa Mkufunzi
 Bw Jamal Mlewa-Programme Coordinator for Primary Schools akitoa maelezo kuhusiana na matumizi ya Tablets kwa ajili ya kufundishia wanafunzi
 Walimu wakifuatilia kwa umakini mkubwa, vifaa hivi vitatolewa kwa wanafunzi pia ili waweze kujifunza masomo yao kwa urahisi
 Bw Lynetlte Mattke- Assitant Project Leader akiangalia walimu jinsi wanavyofuata maelekezo
 Kulia ni Bw Manuel  Mattke- Project Leader akiwa na Bi Sandra Tetty -Tablet Program Manager
                                            Somo limekolea
                          Mazingira ya Josiah Girl's High School, yenye  kidato cha kwanza mpaka cha nne
                                                 Jamco video production katika mahojiano
                                          Wanafunzi wa Pre Form one Josiah Girl's High School
                                          Mahabara ya Shule kwa masomo ya sayansi
                                    Wageni walitembelea maeneo mbalimbali ya shule
Mlete mwanao Josiah Girl's High Schoo, nafasi zipo kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha Tano.

No comments:

Post a Comment