Wednesday 22 July 2015

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA UWT CCM(WASOMI ELIMU YA JUU) MKOA WA KAGERA,ANAOMBA KURA YA NDIO.

Pichani ni Bibi Martha Akanganyira Bishanga mgombea ubunge UWT CCM kupitia wasomi elimu ya juu, Bibi Martha Bishanga anayo elimu  shahada ya Elimu,sera na Uongozi,kwa heshima na unyenyekevu mkubwa  mheshimiwa mjumbe wa mkutano Mkuu wa UWT CCM MKOA WA KAGERA NAOMBA KURA YAKO ya Ndio ili nikutumikie kuendeleza maendeleo ya wanawake na wananchi wa Mkoa wa Kagera na Taifa kwa ujumla. Mkutano unafanyika 24-7-2015, CCM OYEEEEEE.

No comments:

Post a Comment